KINGAZI BLOG: 10/18/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday, 18 October 2016

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU MZUMBE SECOND ROUND 2016/2017

KUONA MAJINA  <<BONYEZA HAPA>> KWA WANAOTAKA KUHAMIAMZUMBE >>SOMA HAPA<<  KWA MNAOTAKA HOSTELS OFF CAMPUS >>SOMA HAPA<&l...

Wanasayansi Kuanzisha Nchi Mpya Angani...Watu 50,000 Watuma Maombi Kuhamia Huko

Wanasayansi hao wanataka kuunda taifa anga za juu ambalo litaitwa Asgardia Kundi la wanasayansi mjini Vienna, Austria wameanzisha mpango wa kuunda taifa la amani la aina yake ambalo litakuwa na jina Asgardia. Taifa hilo litaundwa katika anga za juu, eneo. Maelezo kwenye tovuti ya wanasayansi hao yanasema taifa hilo litakuwa nje ya udhibiti wa mataifa yoyote ya sasa na litakuwa katika mzingo wa dunia,...

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU MBEYA UNIVERSITY-MUST 2016/2017 1ST,2ND AND 3RD ROUND

                                                                  KUONA MAJINA  >>BONYEZA HAPA<<...

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU NIT 2016/2017-1ST,2ND AND 3RD BATCH

KUONA MAJINA  <<BONYEZA HAPA>&g...

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ST.JOHN DODOMA 2016/2017 BATCH 3

KUONA MAJINA HAYO  >>BONYEZA <&l...

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ATC ARUSHA 2016/2017

  List Of Students Selected By TCU To Join ATC Degree Programmes In 2016-17 Academic Year ...

JK, Lowassa ana kwa ana msibani Dar

Dar es Salaam. Jakaya Kikwete na Edward Lowassa walikuwa marafiki na sasa ni maadui wakubwa wa kisiasa, lakini jana walilazimika kushikana mikono wakati wa ibada ya kuaga mwili wa kada wa CCM, Didas Masaburi. Mbali na tukio hilo, Rais John Magufuli alituliza wafiwa alipoeleza kuwa Masaburi, ambaye alizikwa jana chuoni kwake Chanika Dar es Salaam, ameacha wake wapatao watano na watoto zaidi...

Wasouth wamkumbuka Lucky Dube leo

Aliyekuwa mwanamuziki mashuhuri duniani, Lucky Dube wakati wa uhai wake  Siku kama ya leo, Oktoba 18 mwaka 2007, mwanamuziki mashuhuri duniani, Lucky Dube alifariki dunia. Katika kumbukizi ya kifo hicho, Waziri wa Sanaa na Utamaduni, Natji Mthethwa amewataka raia wa Afrika Kusini kumkumbuka mwanamuziki huyo kwa kumuombea. “Leo tunatoa heshima zetu kwa mwanamuziki huyu, muziki wake uliwaguza...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Octoba 18

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us