
KUISHIWA maji mwilini ni adui wa siku zote wa mwanariadha. Dhana hiyo iko mara zote akilini kwa mshiriki wa mashindano ya mbio ndefu za Marathon.
Lakini, unafahamu kwamba kwa upande wa pili wa shilingi ni kwamba, mtu akinywa maji mengi kupita kiasi nayo ina athari zake na hasa tendo hilo linapokosa usimamizi sahihi?
Hivyo katika hilo, hupaswi kuwa kama wanariadha wa Marathon, ambao wanaishia kuwa...