
Watumishi Wa Umma 1,663 Wachukuliwa Hatua Za Kinidhamu Kwa Kusababisha Wafanyakazi Hewa
Watumishi wa Umma 1,663 kutoka Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala za Serikali, Sekretarieti za Mikoa, na Mamlaka za Serikali za Mitaa wamechukuliwa hatua za kinidhamu baada ya kubainika kusababisha watumishi hewa 19,629 hadi Oktoba 25, 2016.
Waziri ya Nchi, Ofisi ya Rais, anayeshughulikia Utumishi na Utawala...