Kuna kila dalili ya kufanyika collabo nyingine ambayo haijawahi tokea ndani ya Crew ya WCB kati ya Boss wa label hiyo kubwa ya muziki hapa nchini na nje ya nchi, Nassib Abdul "DIAMOND PLATNUMZ" na Rich Mavoko ambaye ni moja kati ya wasanii wakubwa waliojiunga na label hiyo. Diamond platnumz ameshafanya kolabo na baadhi ya wasanii ndani ya label hiyo akiwemo Harmonize na wimbo wa " BADO" pia Raymond au Rayvanny na wimbo Salome uliotoka miezi michache iliyopita. Tusubiri na tuone itakavyokuwa.
USISAHAU KUTOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
POST A COMMENT