DOWNLOAD
...
Thursday, 26 January 2017
Aina 4 za vinywaji ambazo huweza kuimarisha tendo la ndoa kwa wanaume
Published Under
MAKALA

Kuna aina ya vinywaji kadhaa ambavyo husaidia kuimarisha tendo la ndoa hasa kwa wanaume.
Vinywaji vifuatavyo huweza kusaidia kuimarisha tendo la ndoa kwa wanaume:-
1. Maziwa
Unywaji wa glasi moja ya maziwa kila siku huweza kusaidia kuimarisha uwezo wa kushiriki tendo la ndoa, hii ni kutokana na kinywaji hicho kuwa na virutubisho mbalimbali ikiwa ni pamoja na madini ya calcium, magnesium,...
SHARE!
Magufuli awaweka kikaangoni mawaziri wawili ,awapa jukumu hili na kulitekeleza ndani ya siku moja tu.
Published Under
KITAIFA

RAIS JOHN MAGUFULI AKIENDESHA BASI LA UTOAJI HUDUMA YA YAENDAYO HARAKA (BRT) BAADA YA KUKAGUA KATIKA UZINDUZI WA MIUNDOMBINU YA MRADI WA HUO KWA AWAMU YA KWANZA JIJINI DAR ES SALAAM JANA.
RAIS John Magufuli amewaweka ‘roho juu’ mawaziri wawili baada ya kuwapa siku moja kumpelekea haraka taarifa za makusanyo ya fedha za Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (BRT) tangu ulipoanzishwa.
Sambamba...
SHARE!
Diamond Kuachia Ngoma Mpya Na Mohombi Wa Congo
Published Under
TOP STORIES

Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul a.k.a ‘Diamond Platnumz’ anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya uitwao Rockonolo wakati wowote kuanzia sasa, kwa mujibu wa Meneja wa Mwanamuziki huyo Jorge Mendez ambaye ameandika katika akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter na kuweka kipande cha Video hiyo na kusema inakuja hivi karibuni.
Video ya wimbo huo ambao inamuonesha mwanamuziki...
SHARE!
Habari kuu zilizopo Katika Magazeti hya Leo Alhamisi ya January 26
Published Under
MAGAZETINI LEO

Karibu msomaji upitie kile kilichoandika kwenye magazeti ya tanzania leo alhamisi
...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)