Diamond Kuachia Ngoma Mpya Na Mohombi Wa Congo | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Thursday, 26 January 2017

Diamond Kuachia Ngoma Mpya Na Mohombi Wa Congo

Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul a.k.a ‘Diamond Platnumz’ anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya uitwao Rockonolo wakati wowote kuanzia sasa, kwa mujibu wa Meneja wa Mwanamuziki huyo Jorge Mendez ambaye ameandika katika akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter na kuweka kipande cha Video hiyo na kusema inakuja hivi karibuni.

Video ya wimbo huo ambao inamuonesha mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini Congo Muhombi ambaye amefanya vizuri sana kutokana wimbo huo kutajwa kuwa ni remix ya moja ya nyimbo zake.

Mara baada ya kuweka video hiyo katika mtandao huo Mendez amepokelewa kwa shangwe na wapenzi wa mwanamuziki huyo. Video ya Diamond na Mohombipamoja katika uzinduzi wa AFCON 2017.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us