KINGAZI BLOG: 10/20/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Thursday, 20 October 2016

TCU yaongeza muda wa udahili vyuo vikuu

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU imetoa muda wa siku 3 kwaajili ya wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wamekosa fursa ya kudahiliwa katika hawamu tatu za udahili zilizofanywa na tume hiyo Kaimu mkurugenzi wa udahili na nyaraka wa TCU Dkt. Kokuberwa Mollel amesema udahili huo utaanza tarehe 24 hadi tarehe 26 mwezi huu kwaajili ya kozi mbalimbali ambazo bado hazijajazwa kwani tayari udahili umekamilika...

MPYA : HAYA HAPA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU JOSIA KIBIRA (JOKUCO)

>>>BONYEZA HAPA KUONA JINA LAKO<<<&g...

NILAMBE HUMOHUMO== SEHEMU YA 4

. CHOMBEZO: NILAMBE HUMOHUMO MTUNZI: HUSSEIN WAMAYWA SEHEMU YA NNEUkutani kulikuwa na picha kubwa za wanawake wa kizungu walio uchi ambao walikuwa wamelala kitandani katika namna ya kutamanisha kulikovuka mipaka, yule mheshimiwa akaanza fujo tena.Jimama likaingia na kufunga mlango,Likaondoa kanga kifuani na kile kijisketi kilichokuwa kimemsitiri kwa chini na kubaki kama lilivyozaliwa. Mwanga...

Zaid ya Wanavyuo 66,000 wakosa mikopo mwaka huu

  Dar es Salaam. Ahadi iliyotolewa na Rais John Magufuli wakati wa kampeni mwaka jana kwamba katika Serikali yake hakuna mwanafunzi atakayekosa mkopo wa masomo ya elimu ya juu imekuwa ngumu kutekelezeka. Uchunguzi wa Mwananchi umebaini kwamba kati ya wanafunzi 88,000 walioomba mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), wengi hawatapata. Uwezo wa bodi hiyo ni...

Rais Magufuli ampigia simu RC Mrisho Gambo.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema kuwa Rais Dkt John Pombe Magufuli amempigia simu  na kumwambia kuwa ana imani naye na kuwa hajafikiria kutengua uteuzi wake labda kumpandisha cheo. Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari  baada ya taarifa kuhusu Rais kutengua uteuzi wake kusambaa kwenye mitandao ya kijamii. Mkuu wa mkoa alisema...

MPYA:HII HAPA LIST YA VYUO VILIVYOTOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA THIRD ROUND VYUO VIKUU MBALIMBALI 2016/2017

                           Habari yako, TCU tayari wametoa third batch (awamu ya tatu) ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali hapa nchini, kama kawaida yetu lazima tuwe sambamba kukuletea kila linalojiri tanzania katika secta ya elimu na vyuo kwa ujumla, yafuatayo ni majina ya waliochaguliwa kujiunga...

Hizi Hapa Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Octoba 20

...

Jinsi ya Kupunguza Uzito Kwa Njia za Asili: Njia 3 Rahisi

Uzito mkubwa wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha yetu ya kisasa. Uzito unapozidi kiwango ambacho kinahitajika kwa mtu husika kunachangia matatizo mengi ya kiafya. Watu wenye uzito mkubwa wamekuwa wakijaribu njia nyingi tofauti za kupunguza uzito bila ya mafanikio aidha kwasababu ya kukata tamaa mapema kabla ya matokeo au kwa kufuata njia zisizo sahihi na namna zisizo sahihi. Baadhi...
 

Gallery

Popular Posts

About Us