
Mama mzazi wa msanii maarufu nchini, Wema Sepetu ametiwa mbaroni jijini hapa kwa madai ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Mariam, ambaye ni mama mzazi wa mrembo huyo wa Tanzania 2006 alifikishwa Kituo cha Polisi cha Oysterbay Jumamosi hi kwa madai ya kujipatia fedha hizo kutoka kwa mfanyabiashara, Alex Msama.
Habari kutoka katika kituo hicho zinadai kuwa Mariam alifunguliwa jalada la...