Habari wasomaji wangu leo tujuzane kuhusu udukuzi kidooooogo lakini pia ikumbukwe kuwa KUDUKUA MAWASILIANO YA MTU NI KOSA KISHERIA.
lengo la njia hii ilikuwa kwa ajili ya kuhamisha chat zako na kuweza kuzisoma katak PC yako au kwa maneno mengine kuchat kwa kutumia computer.
sasa leo tuitumie njia hiyo hiyo kwa malengo tofauti na hayo niliyo taja hapo juu.
fuata hatua hizi
1. Ingia playstore kisha download app iitwayo
WhatsappWeb
2. Install katika simu yako
3. Ifungue hiyo program
na utakutana na kitu kimeandikwa USE whatsapp on your phone to scan the code
4. kisha chukua simu lengwa simu unayotaka kuidukua (hapa panaweza kuwa pagumu kidogo kama huna acces nayo basi hauta faniksha zoezi hili ila fanya uwezavyo kuipata)
5.fungua whatsap yake na utakutana na chat zake kisa angalia pale juu kwenye kona ya kulia utakutana na vidoti vitatu
6. bonyeza hapo utakutana na maandishi whatsapp web, bonyeza hapo kisha itafungua sehemu ya ku scan code.
7.hatua ya mwisho chukua simu yako uliyoinstall ile app na uifungue itakuletea hiyo code iweke kwa nyuma ya simu lengwa kama mtu unaye taka kuipiga picha hivi automatic itascan hiyo code na chat zake zitahamia kwako moja kwa moja.
ukifanikisha utaweza kufanya ya fuatayo bila yeye kujua
a.kusoma chat zake
b.kumbadilishia profile picture
c.kumbadilishia status
d.kuchat n.k
kifupi utakuwa umeimiliki whatsapp yake bila yeye kujua
PIA KUMBUKA KUDUKUA MAWASILIANO YA MTU NI KOSA KISHERIA.
Chanzo : JF
0 comments:
POST A COMMENT