KINGAZI BLOG: 02/03/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday, 3 February 2017

Diamond Platnumz ft Ne-yo (Video) – Marry You | Mp4 Download

UNAWEZA ICHEKI HAPA CHINI Diamond Platnumz ft Ne-yo (Video) – Marry You |  Mp4 Download              DOWNLOAD VIDEO...

Breaking News: Rais Magufuli Ateua Mkuu mpya wa Majeshi Tanzania...Mwamunyange astaafu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, leo Tarehe 02 Februari, 2017 amemteua Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania. Pamoja na kuteuliwa kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo amepandishwa cheo na kuwa Jenerali. Jenerali Venance S. Mabeyo anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jenerali Davis Mwamunyange...

Makonda ataja wasanii vinara wa madawa ya kulevya! Wapo mastaa wa bongo kama wema sepetu na hawa wengine

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amejitoa mhanga kwa kuagiza kuswekwa ndani kwa askari Polisi zaidi ya tisa wa mkoa huo pamoja na kuwataka wasanii maarufu nchini akiwamo aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu kujisalimisha Kituo Kikuu cha Polisi, akiwatuhumu kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Mbali na Wema ambaye alikuwa Miss Tanzania 2006 na kwa sasa ni mwigizaji maarufu,...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaaa ya January 3

...

Audio | Ray C – Upepo (Cover) | Mp3Audio DOWNLOAD

DOWNLOAD ...
 

Gallery

Popular Posts

About Us