KINGAZI BLOG: 11/26/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday, 26 November 2016

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Leo Novemba 26

...

Muuguzi anayedaiwa kumwambia mama wa mgonjwa ‘ataisoma namba kumchagua Magufuli’ atambuliwa

Mbeya. Muuguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya anayedaiwa kumkamshifu Junes Elias, mkazi wa Mbozi mkoani Songwe na Rais John Magufuli ametambuliwa. Mganga mkuu wa hospitali hiyo, Dk Gloria Mbwille alisema muuguzi huyo ametambuliwa na kwamba tume imeundwa kuchunguza tuhuma zinazomkabili. Hata hivyo, alikataa kuzungumzia zaidi kuhusu muuguzi huyo wala kumtaja jina akisema taarifa zaidi zitatolewa na...

Rais za Zamani wa Cuba, Fidel Castro Afariki Dunia

Rais wa zamani wa Cuba na kiongozi wa mapinduzi ya kikomunisti, Fidel Castro amefariki akiwa na umri wa miaka 90, mdogo wake Raul ametangaza. Amefariki usiku wa saa nne na dakika 22, kwa mujibu wa Rais Raul Castro. Fidel Castro aliiongoza Cuba kama nchi ya chama kimoja kwa takriban miaka 50 kabla ya Raul kushika madaraka mwaka 2008. Mazishi yake yanafanyika Jumamosi hii kwa mwili wake kuchomwa...
 

Gallery

Popular Posts

About Us