
Kuna baashi ya wanaume wanatamani wakati wakiwa wanafanya mapenzi na wenzi au wapenzi wao basi uume zao ziwe zinasimama muda mrefu mathalani masaa matatu au manne au zaidi huku wakimwaga shahawa eti tu wawaridhishe wenzi wao au ili waonekane ni wanaume waliokamilika. Wanaume wengine wamekuwa wakitumia dawa za kusimamisha uume kama vile viagra au dawa za asili na zingine maarufu kama dawa za kimasai!...