
Dar es Salaam. Hata baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kufikia kutangaza kuwa imefanikiwa kudhibiti wizi wa mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi na sekondari imeelezwa kuwa kuna shule zinazofundisha mbinu za kuiba mitihani.
Wenye siri kuhusu vituo na shule hizo zinazokiuka taratibu za usiri wa mitihani ni Umoja wa Wamiliki wa Shule na Vyuo binafsi (Tamongsco) ambao wamesema baadhi...