KINGAZI BLOG: 12/13/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday, 13 December 2016

Tazama Salamu zisizokuwa za kawaida nchini Cameroon

 Pierre Ismael Bidoung Mpkatt akimsalimia Paul Biya Tangu waziri wa michezo nchini Cameroon Pierre Ismael Bidoung Mpkatt ainame wakati akimsalimia rais wa nchi hiyo Paul Biya, picha hizo zilisambaa mitandaoni. Watu nchini Cameroon wamekuwa wakiiga picha hizo na hata kuifanyia mabadiliko.  Salamu zisizokuwa za kawaida Cameroon Mfano mwingine ulibuniwa.  Salamu zisizokuwa za kawada...

Mwanzilishi wa tovuti ya JamiiForums, Maxence Melo akamatwa na Polisi

MKURUGENZI Mtendaji wa Jamii Media na mwanzilishi wa mtandao maarufu wa JamiiForums, anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika kituo kuu cha polisi, Dar es Salaam, kwa madai ya kugomea agizo la muda mrefu la jeshi hilo. Polisi wamekuwa wakiagiza na kuamuru kupewa taarifa za watumiaji wa JamiiForums bila mafanikio. Maxence alipigiwa simu leo akiwa ofisini kwake asubuhi akitakiwa kufika kituoni hapo na alitekeleza mwito huo. Baada ya kufika polisi kati, akiwa ameongozana na mhariri na mwanaharakati wa uhuru wa mawasiliano, Simon Mkina na mwanasheria, Nakazael Tenga, Maxence alinyimwa dhamana ya polisi. Jeshi la Polisi limeeleza...

SERIKALI Yacharuka Suala la Maiti 7 Kuokotwa Mto Ruvu, Waziri Mkuu Atoa Maagizi Mazito kwa Jeshi la Polisi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kuwabaini waliohusika na mauaji ya watu saba ambao miili yao iliokotwa pembezoni mwa mto Ruvu wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani, ikiwa kwenye mifuko ya sandarusi, ili hatua kali zichukuliwe dhidi yao. Waziri Mkuu Majaliwa amesema serikali imepokea kwa huzuni kubwa taarifa ya kuokotwa...

Jeshi la Polisi Kutoa Msimamo wake Leo Kuhusu Kauli za Mzee wa Upako Kwamba Waliomchafua Watakufa Mwakani

Siku moja baada ya Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu Mzee wa Upako kusema waandishi waliomuandika vibaya watakufa kabla ya Machi 2017, Jeshi la Polisi linatarajia kutoa msimamo wake dhidi ya kauli hiyo leo.  Kauli hiyo ya Mzee wa Upako aliyoitoa juzi kanisani kwake, ilikuwa ni mwendelezo wa mahubiri yake ya nne katika wiki ya tatu mfululizo akijibu yale yaliyoandikwa...
 

Gallery

Popular Posts

About Us