KINGAZI BLOG: 04/02/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday, 2 April 2017

Chama cha Wamiliki wa Mabasi(TABOA) kimetangaza Mgomo kuanzia wiki ijayo.

  Chama cha Wamiliki wa Mabasi(TABOA) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Malori na Chama cha Wasafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo nchi nzima kuanzia siku ya jumatatu ili kushinikiza serikali kutopitisha sheria ya usafirishaji inayotarajiwa kusomwa mara ya tatu na kupitishwa siku ya Jumanne wiki ijayo.Akitoa maazimio hayo yaliyofikiwa katika...

Tundu Lissu: "Nilinusurika kupigwa na Wasira"

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu alinusurika kushambuliwa na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira katika moja ya vikao vya Bunge mjini Dodoma. Lissu alisema hayo wakati akisimulia sehemu ya maisha yake binafsi na mambo aliyowahi kukutana nayo maishani katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika Jumatano. Katika simulizi hiyo, Lissu, ambaye kwa sasa ni rais wa Chama cha Wanasheria...

Maalim Seif azidi kumrushia Makombora Lipumba...Safari hii kaja na hili la kummaliza kabisa Lipumba.

VITA vya maneno vimezidi kushika kasi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) na sasa Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, ameibuka na kumtaka aliyekuwa mwenyekiti wake, Profesa Ibrahim Lipumba, amwache kwa kuwa hana uwezo wa kumfukuza kazi. Kadhalika, amesema kama kweli Profesa Lipumba anadhani yeye ni mwenyekiti halali, afike makao makuu ya CUF kisiwani Unguja ili kufanya kazi badala...

Noma Sana..Pamoja na Wakenya Kwenda Mahakamani..Madaktari 470 wa Kitanzania Wajitokeza Kuchangamkia Fursa!

Wakati Mahakama nchini Kenya imezuia kwa muda madaktari kutoka nje kwenda nchini humo kupiga kazi, zaidi 470 wameomba kazi hizo kupitia Wizara ya Afya hapa nchini. Serikali ya Tanzania imesema mchakato wa kupokea maombi hayo pia utaendelea kwa kuwa haijapokea maelekezo yoyote nchini Kenya. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema bado wanasubiri taarifa rasmi...

Watu 250 wahofiwa kufa kwenye maporomoko ya ardhi

Mamlaka ya jeshi la Colombia inasema idadi ya waliofariki katika maporomoko ya ardhi nchini humo imefikia watu 250 huku waliojeruhiwa wakiwa 400. Hata hivyo idadi hiyo huenda ikaongezeka kwani bado kuna zaidi ya watu 200 ambao hawajapatikana . Vikosi vya wafanyikazi wanaoendesha shughuli za uokoaji wanasema nyingi ya barabara za kulipotekea maporomoko hayo huko eneo la mji wa kusini mwa taifa hilo,...

CCM na Ukawa Waungana Bungeni Kumsulubu Rais Magufuli..Habari katika Magazeti ya Leo 2/4/2017.

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us