KINGAZI BLOG: 10/01/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday, 1 October 2016

TAARIFA MUHIMU KUTOKA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu(HESLB) Imetoa majina ya wanafunziwaliokosea kujaza fomu kwa kutoweka sain zao ama za wadhamin wao na vitu vngine. Bodi imewataka wafike katika ofisi zao zilzopo jijini Dar es salaam kuanzia tar.03/10/2016  mwisho tar. 07/10/2016 HESLB  wametoa majina 2649 ya watu waliokosea mambo mbalimbali katika kujaza fomu haya ni: -kukosekana picha ya mdhamini -kukosekana...

HII HAPA LIST YA MAJINA AWAMU YA KWA KWANZA KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU CHA SOKOINE MOROGORO (SUA).

First Batch of Students Selected to Join Undegraduate and Non Degree Programmes for Academic Year 2016/2017 Created on 01 October 2016 CONGRATULATIONS AND WELCOME TO SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE. The following applicants have been selected to join variousundergraduate and Non degree programmes for the 2016/2017 academic year which starts on the 17th October, 2016. Candidates are advised...

Serikali Yasogeza Mbele Field Kwa Wanafunzi Wa Afya 2016

Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia ,wazee na watoto inawatangazia wahitimu wote wa vyuo vikuu vya kada mbalimbali za afya wanaopaswa kufanywa mafunzo ya utarajali yani ‘internship’ ambao ni madaktari wa meno, wafamasia, wauguzi, wataalamu wa Radiolojia, wataalamu wa maabara na wataalamu wa afya ya mazingira kwamba pamoja na kuwa walipaswa kuanza mafunzo yao leo Oktoba 1, 2016  ambayo...

Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Kikuu Iringa(University Of Iringa) 2016/2017

Bachelor of Arts in JournalismS/NSurnameFirstNameSecondNameSex1AWESOAMINAAF2MSUYASTEPHANOPM3HAYUMAEMMANUELATANASM4ABDALLAHKHATAMISM5MASANJAJOHNM6CHRISANTVENANCEM7SAMKNICOLAUSNICOMEDM8AMANIMASOUDM9PASTORYMARCOBUNDALAM10NYONIGODFREYEMBachelor of Laws1BAKARIMTANARASHIDM2KAYOMBOMICHAELM3MBWIGAPIUSM4MNAKUWILSONM5MOLLELMATHEWJM6MUTAKIFELIXWM7NYALUSIHEKIMAM8TUNZOGRACEFBachelor of Arts in Cultural Anthropology...

Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Kikuu Bugando(Cuhas) 2016/2017

Bachelor of Pharmacy (BPHARM)  List of Names Joining InstructionsRegistration Form - 1st YearRegistration Form - ContinuingMedical Form Bachelor of Science in Nursing (BSN)     List of Names Joining InstructionsRegistration Form - 1st YearRegistration Form - ContinuingMedical Form Bachelor of Science in Nursing Education (BSNE)     Joining...

Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Kikuu Ruaha University- RUCU 2016/2017

Selected Candidates to join various Degree Programmes at RUCU 1. Bachelor of Arts with Education   2. Bachelor of Accounting and Finance with Information Technology   3. Bachelor of Laws   4. Bachelor of Business Administration   5. Bachelor of Science in Computer Software Engineering and Information System   6. Bachelor of Environmental Health Sciences...

Haya hapa Majina Ya Wanafunzi Waliokosea Kujaza Form Za Mikopo 2016/2017.

During the exercise of processing 2016/2017 loan application forms, the Board has come across loan applications which are missing some vital information such as applicant’s and guarantor’s signatures. For that reason, the Board would like to inform loan applicants with such incompleteness to visit HESLB offices in Dar es Salaam. Loan applicants and/or their guarantors who have not signed...

Dawa za kupunguza maumivu 'husababisha maradhi ya moyo

ImageSCIENCE PHOTO LIBRARYImageDawa za kupunguza maumivu Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu na uvimbe huchangia ongezeko la hatari ya kupata maradhi ya moyo, utafiti umebaini. Dawa kama vile Ibruprofen, Naproxen na Diclofenac ndizo dawa hutumiwa sana kupunguza maumivu na kuvimba. Jarida la Uingereza la madaktari, linasema watafiti waliwachunguza watu milioni 10 , wenye umri wa miaka 77 ambao walitumia...

Rwanda yanunua ndege ya kisasa ya Airbus

Rwanda yanunua ndege ya kisasa ya Airbus ImageNdege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 244 Shirika la ndege la Rwanda, Rwandair, limezidisha ushindani katika uchukuzi wa ndege Afrika Mashariki na Kati kwa kununua ndege aina ya Airbus A300-200. Ndege hiyo itawezesha shirika hilo kufika masoko ya Ulaya na bara Asia. Ndege hiyo ilizinduliwa kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wa kimataifa wa Kanombe, Kigali. Tanzania...
 

Gallery

Popular Posts

About Us