KINGAZI BLOG: 05/04/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Thursday, 4 May 2017

Kimenukaa!!!...Madereva 6 wa Halmashauri walioghushi vyeti, wahukumiwa mwaka moja.

Madereva sita wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wamehukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya makosa matatu ya kughushi vyeti vya kidato cha nne na kujipatia ajira.Hukumu hiyo imetolewa leo  na Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kilwa, Gabriel Ngaeje baada ya kuridhishwa na ushahidi uliowasilishwa mahakamani.Madereva waliohukumiwa ni Juma  Sungura,...

Mimi ni shabiki wa ‘kutupwa’ wa Arsenal’ – Pro. Lipumba

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) taifa Mh. Prof. Ibrahim amesema yeye ni shabiki wa kutupwa wa Arsenal licha ya klabu hiyo ya England kutotwaa mataji makubwa kwa muda mrefu. “Arsenal haifanyi vizuri, lakini ndio timu yangu ninayoipenda,” Prof. Lipumba amesema kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV leo Alhamisi Mei 4, 2017 wakati akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayohusiana na chama chao (CUF). Lipumba pia amesema yeye amewahi kucheza soka wakati akiwa mwanafunzi wa shule ya sekondari japo haikua kwa kiwango cha ushindani. “Nimewahi kucheza mpira wakati nasoma sekondari, lakini sio katika ngazi ya ushindani,”...

JINAMIZI la Clouds Lamrudia Makonda..Habari Vichwa vya Magazeti ya Leo Tarehe 4

...

Job Opportunity at Tanzania Postal Bank, Systems Internal Auditor

DescriptionTPB Bank PLC is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products. TPB Bank PLC is a Bank, whose vision is “to be the leading bank in Tanzania in the provision of affordable, accessible and convenient financial services”. As part of effective organizational development and management of its human capital...
 

Gallery

Popular Posts

About Us