KINGAZI BLOG: 12/02/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday, 2 December 2016

GIGY Money ‘Nawashauri Wadada Wasivae Nguo ya Ndani Kama Mimi’


Baada ya video queen, Gigy Money kusemwa katika mitandao ya kijamii kwamba havai nguo ya ndani, mrembo huyo amesema ni kweli havai na ni maisha anayopenda kuishi.

Akiongea na Bongo5 Jumamosi hii, Gigy Money amesema anajisikia vizuri akivaa nguo bila kufuli kwani anajiona yupo huru zaidi. “Hata hapa nilipo sijavaa ch**i na nikweli sipendi kuvaa ch**i ila napenda kuvaa ch**i yenyewe bila kuvaa nguo juu yake,” alisema Gigy Money.

“Ch*pi nayo ni nguo na ni vazi la ndani, nivae ch*i nisivae hayo hayawahusu, hapa nilipo sijavaa c**i kwanza c**i inaharibu shepu, kama hii nguo niliyovaa leo nikivaa na c**i si naharibu nguo yangu, vitu ninatakiwa kuonekana. Tena ningewashauri wadada wenzangu wabane matumizi kwa sababu ch**i zinapanda bei kila kukicha,” aliongeza.

Katika hatua nyingine Gigy amesema kwa wasanii wachanga ndio watu ambao wanamtafuta zaidi ili ashiriki kwenye video zao.



PICHA:Mrembo Hamissa Mobeto azidi kung'ara

video queen wa 'hit song' ya Salome, Mrembo na model wa bongo Hamissa mobetto amezidi kung'ara kupitia tasnia yake ya fashion baada ya hivi karibuni kuingia kuwania tuzo kubwa za masuala ya fashion africa, Wasanii wengine waliotajwa kuwania tuzo hizo za Asfawards2016 ni Jackline Wolper, na Wengineo

Nuh Mziwanda athibitisha wazi mkewe ni mjamzito

Msanii Nuh mziwanda amethibitisha kuwa yeye ni "Baba kijacho" baada ya kupost picha akiwa na mkewe huku tumbo la mkewe likionyesha wazi kwamba ni mjamzito,  katika post hiyo aliweka ujumbe kwamba anawapenda mashabiki zake na kuwapa "surprise " hiyo

 

Gallery

Popular Posts

About Us