Msanii Nuh mziwanda amethibitisha kuwa yeye ni "Baba kijacho" baada ya kupost picha akiwa na mkewe huku tumbo la mkewe likionyesha wazi kwamba ni mjamzito, katika post hiyo aliweka ujumbe kwamba anawapenda mashabiki zake na kuwapa "surprise " hiyo
Friday, 2 December 2016
Nuh Mziwanda athibitisha wazi mkewe ni mjamzito
Published Under
TOP STORIES
About Author
BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
POST A COMMENT