KINGAZI BLOG: 03/29/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday, 29 March 2017

MAKONDA AHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE KWA TUHUMA HIZI

NaMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo amefika mbele ya kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge kufuatia wito wa Kamati hiyo kumtaka afike mbele ya kamati kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kutokana na matashi aliyoyatoa mapema mwezi februari 2017 jijini Dar es Salaam yaliyokuwa na madai ya kudharau Bunge. TUSUBIRI KUONA NINI KITAKACHOFU...

Kauli ya Mwakyembe kuhusu ripoti ya Uvamizi la Clouds Media.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe leo amezungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma mara baada ya kukaribishwa rasmi Wizarani hapo.. Baada ya maongezi aliruhusu mwaswali ambapo moja ya swali aliloulizwa na wanahabari ni kuhusu ripoti iliyoachwa na Waziri wa zamani Nape Nnauye kuhusu uchunguzi wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kudaiwa kuvamia ofisi...

HEBU ONA KATUNI 5 BORA ZA LEO

ZAIDI TEMBELEA FURAHIAMAISHANEWZ.COM ...

Zitto: NECTA Limesema hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda

Tumejulishwa kwenye Kamati kuwa NECTA hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda. Yani wote hawapo kwenye kanzidata ya Baraza la Mitihani. Kwamba Tanzania haijawahi kuwa na wanafunzi wenye majina hayo ...

BREAKING NEWS: Picha 4 za Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo Asubuhi Dar

Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Msimbazi na Morogoro, Dar. SOURCE: MUUNGWANA BLO...

Hii hapa Habari njema kwa watumiaji wote wa Facebook

Baada ya Instagram kuanzisha Insta Stories, mtindo ulioipandisha chat Snapchat, Facebook nayo imekuja na mtindo huo kwenye app yake. Kupitia app ya Facebook, sasa unaweza kushare matukio/stories na kuona kile marafiki zako wamekifanya kwa saa 24. Juu ya Facebook app, utaona picha za duara zinazowakilisha story walizoziweka marafiki zako na ukibonyeza, utaona picha, video ama michoro waliyoweka. Baada...

BREAKING NEWS: Picha 4 za Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo Asubuhi Dar

Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Msimbazi na Morogoro, Dar. SOURCE: MUUNGWANA BLO...

Soma hapa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ukomo wa bajeti kwa mwaka 2017/18

MAELEZO YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB) AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA YA KIWANGO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/18 MACHI 2017 DODOMA   UTANGULIZI Mheshimiwa Mwenyekiti, awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutujalia uhai na afya njema na kutuwezesha Wabunge wote kukutana hapa Dodoma kuanza kazi ya kuchambua mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha unaofuata, ikiwa ni mara ya kwanza tangu kukamilika kwa awamu ya kwanza ya utekelezaji wa uamuzi...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya March 29

...

CHOMBEZO: NILAMBE HUMO HUMO: Sehemu ya 6

CHOMBEZO: NILAMBE HUMO HUMOMTUNZI: HUSSEIN WAMAYWA SEHEMU YA SITA Siku mbili zilizofuatia tuliishi katika mtindo huu.Wakati nimeanza kuchoshwa na maisha haya katika siku ya tatu na nikiwa tayari kumwambia Akimu turudi Dar es salaam; ndipo lilipotokea lile ambalo ni miongoni mwa mambo matatu muhimu yalinifanya nishike peni na karatasi na kuandika mkasa wangu huu ambao Uncle Wamaywa ameamua kuuita...
 

Gallery

Popular Posts

About Us