
#NUKUU:"Wanasiasa tuiache serikali ya CCM ifanye kazi yake, mambo mengine tukutane mwaka 2020,Tutangulize Tanzania kwanza, siasa baadaye, watanzania wanataka maendeleo, hakuna Mtanzania anayekula siasa”Rais Magufuli.
"Ukiwa dereva wa lori, hutakiwa kusikiliza watu uliowapakia wanaimba nini au wanatazama wapi, wewe endesha lori uwafikishe salama. Dereva mzuri huwa hasikilizi watu aliowapakia wanasema...