KINGAZI BLOG: 01/31/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday, 31 January 2017

BREAKING NEWS: UPDATED HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2016. TUMEKUWEKEA HAPA LINK AMBAZO ZINAFUNGUKA HARAKA .

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016 ambapo umefaulu wa jumla umeongezeka kwa 2.56% kutoka 67.53% mwaka 2015 hadi 70.09% mwaka 2016. google_ad_client = "ca-pub-2816084310730192"; google_ad_slot = "6539555661"; google_ad_width = 728; google_ad_height = 90; Katibu Mtendaji wa barza hilo, Dkt Charles Msonde amesema kati ya wanafunzi...

Mke wa mtu sumu!! Jamaa auawa kikatili baada ya kufumaniwa akimla uroda mke wa mtu

WATU watatu wilayani Igunga mkoani Tabora wamekufa akiwemo mwanaume aliyeuawa na kundi la wananchi baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu. Watoto wawili wa familia moja wamepoteza maisha kwa kuzama kwenye shimo la maji. Akizungumza jana mjini Tabora, Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Kamishna Msaidizi Hamisi Selemani amesema katika tukio la Januari 28, mwaka huu katika Mtaa wa Stoo, Kata ya...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya January 31.

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us