Sunday, 12 March 2017
Makonda Ateseka Ughaibuni...Habari Katika Vichwa vya Magazeti ya Leo jumapili
Published Under
MAGAZETINI LEO
SHARE!
CCM Yawatimua Makada 12,Yupo Sophia Simba na Mwenyekityi wa CCM Dar Es Salaam,Ramadhan Madabida.
Chama cha Mapinduzi kimewafukuza makada 12 wa chama hicho wakiwemo wanachama mkongwe kama, Sophia Simba, Ramadhan Madabida na Jesca Msambatavangu.
Wakati wanachama hao wakifukuzwa wengine wanne wamepewa onyo kali, sita wamevuliwa uongozi na kuwekwa chini ya uangalizi mkali wa miezi 30, huku mwenyekiti wa chama hicho Dodoma, Adam Kimbisa akisamehewa.
Uamuzi huo umetolewa baada wa kikao cha Nec kilichofanyika Dodoma leo (Jumamosi) na kuongozwa na mwenyekiti wake, Rais John Magufuli.
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)