KINGAZI BLOG: 08/31/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday, 31 August 2016

UBONGO WA MTU UNA SELI 100 BILLIONI ZA MAWASILIANO

Ubongo una mfumo wa mawasiliano ya kustajabisha kama makala haya yanavyochambua. Ubongo ni kiungo cha aina yake katika mwili wa binadamu. Ubongo hutoa kila fikira, tendo, kumbukumbu, hisia na uzoefu wa kidunia. Kwa mujibu wa jarida la New Scientist, Ubongo wa binadamu umetengenezwa na viini laini vilivyo katika mfumo kama mafuta mazito yaliyoganda. Ubongo umegawanyika katika sehemu tatu, ya...

JPM Amthibitisha Msigwa Kuwa Mkuregenzi wa Mawasiliano Ikulu

...

New Official Video: RAYMOND (RAYVANNY) NATAFUTA KIKI

Ni miongoni mwa waimbaji wa bongo wanaopewa sifa nyingi za utunzi na uimbaji kwenye bongofleva, lebo inayomsimamia ni WCB ya Diamond Platnumz, ukishamaliza kuitazama hii video usiache kutoa comment yako umeipokeaje ili akipita ajua Watu wake wamesemaje ...

BREAKING NEWS :MWENYEKITI WACHADEMA MBOWE HAAIRISHA MAANDAMANO YA UKUTA

Viongozi wa upinzani wakati wa kikao na wanahabari Dar es SalaamMuungano wa vyama vya upinzani nchini Tanzania umeahirisha maandamano ya kitaifa ambayo yalikuwa yamepangiwa kufanyika kesho. Viongozi wa upinzani, akiwemo Edward Lowassa wa Chadema, wametangaza hatua hiyo kwenye kikao na wanahabari Dar es Salaam.Wamesema wameahirisha maandamano hayo kwa kipindi cha mwezi mmoja baada ya kusikia ombi...

Weka Picha za Utupu Mtandaoni Uende Miaka 20 jela – TCRA

Unataka kwenda jela? Ni rahisi, weka picha za ngono mtandaoni, na utakuwa mkazi wa huko kwa kipindi cha miaka 20. Kwa mara nyingine tena, mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA imewakumbusha watanzania kutozichezea sharubu za sheria ya makosa ya mtandaoni, lasivyo wataishia pabaya. “Ni vyema wananchi wakatambua kwamba uchochezi kwenye mitandao kwa kusambaza ujumbe wenye viashiria vya uvunjifu...
 

Gallery

Popular Posts

About Us