TAREHE 12/12/2016 WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILITANGAZA KUWA WAHITIMU WA STASHAHADA NA SHAHADA ZA UALIMU KATIKA MASOMO YA SAYANSI (FIZIKIA, KEMIA, BIOLOJIA) NA HISABATI WA MWAKA 2015 WAWASILISHE VYETI VYAO KWA
AJILI YA UCHAMBUZI WA WAHITIMU WENYE SIFA.WAHITIMU WALIOKUWA NA MAPUNGUFU KATIKA NYARAKA ZAO WANATAKIWA WAWASILISHE TENA. WAHITIMU HAO...
Friday, 13 January 2017
MPYA: HAYA HAPA MAJINA YA WALIMU WALIOTUMA VYETI VYAO WA STASHAHADA NA SHAHADA YA SAYANSI UALIMU
Published Under
BREAKING NEWS
SHARE!
Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Akamatwa Kwa Rushwa ya Ngono Dar es Salaam
Published Under
TOP STORIES

Mhadhiri Msaidizi wa Chuo cha Taifa cha Usifirishaji (NIT) amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Konondoni baada ya kunaswa katika mtego wa rushwa ya ngono.
Mhadhiri huyo anayefahamika kwa jina la Samson Jovin Mahimbo (66) mkazi wa Makongo Juu, Dar es Salaam alikamatwa jana Januari 12, 2017 katika nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kama Camp David iliyopo eneo la Mlalakua,...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)