
Leo December 19, 2016 kutoka Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, Dar es salaam, mwanzilishi wa mtandao wa kijamii wa JAMII FORUMS Maxence Melo ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya siku 5 ambapo baada ya kupata dhamana hiyo Max ameyaongea yafuatayo.
“Nawashukuru mawakili wangu najua wamekuja kwasababu ya kutetea uhuru wa vyombo vya habari, jukumu hili sio la Max peke yake ni jukumu...