KINGAZI BLOG: 03/04/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday, 4 March 2017

Mashoga wakamatwa zanzibari ....na hichi ndicho kilichowakuta..

Mashoga Zanzibar Wakiona cha Moto,Haya Ndiyo Yaliyowakuta Baada ya Kukamatwa!!

POLISI visiwani Zanzibar imewakamata wanaume 16 wanaodaiwa kufanya mapenzi ya jinsia moja, katika operesheni maalum inayoendelea kwenye mkoa wa Mjini Magharibi.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa mkoa huo, Ayoub Mohammed, alisema mashoga hao waliokamatwa walipelekwa hospitali kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kiafya na kubaini iwapo wanafanyiwa vitendo hivyo.

Alisema kati yao 11 walibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsi moja na tayari majalada yao yameshafikishwa kwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), kwa ajili ya kushitakiwa.

Alisema kuwa watuhumiwa wengine wanaendelea kuchunguzwa na uchunguzi utakapokamilika majalada yao ripoti itaamua hatua za kuwachukulia iwapo wanapelekwa kwa DPP au wanaachiwa.

“Kazi ya kuwasaka mashoga inaendelea na tutahakikisha tunawakamata ili kutokomeza vitendo hivyo ambavyo havikubaliki kisheria, kimaadili wala kijamii,”alisema.

Aidha, alisema operesheni hiyo itawahusu pia wale wanaojifanya waume na kuwafanyia vitendo hivyo wenzao ili wakamatwe.

Aliwataka mashoga kuwataja wale wote wanaowafanyia vitendo hivyo ili wachukuliwe hatua za kisheria kwani ushoga umekuwa ukiidhalilisha jamii.

“Idadi ya matukio ya udhalilishaji hasa kwa watoto yamekuwa yakiongezeka na hivi sasa vitendo hivyo vimeshamiri kwa watoto wa kiume kulawitiwa,” alionya.

Aliitaka jamii kutoa ushirikiano na kuunga mkono juhudi hizo za kuwasaka na kuwakamata wanaojihusisha na vitendo hivyo ili kuinusuru Zanzibar na wimbi la udhalilishaji na maradhi.

Alisema kitendo hicho kimekuwa kikipoteza nguvu kazi ya taifa kutokana na vijana wengi wa kiume kujihusisha na vitendo hivyo ambayo athari zake ni magonjwa na vifo.

“Vijana ndiyo nguvu kazi ya taifa hili tukisema vitendo hivi tunavifumbia macho tutakosa nguvu kazi ya taifa,”alisema.

Jaji atumia dakika 22 kumtoa lema jela....pitia  Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya March 4




Hiki Ndio Chanzo Cha Kupungua Ukubwa Wa Uume Na Matibabu Yake

kupigwa na baridi au kuoga maji ya baridi husababisha uume kuaenekana mdogo na baridi ikiondoka uume hurudi kua vilevile, hii ni kawaida kwa wanume wote duniani lakini kuna baadhi ya mambo yanatokea kwa mwanume au ambayo mwanaume mwenyewe anayafanya yanaweza kumpunguzia ukubwa wa uume na kua mdogo na usirudi katika hali yake ya zamani.

Je ukubwa wa uume kwa kawaida ukoje?
kwa hali ya kawaida uume unakua na vipimo vifuatavyo katika jamii nyingi duniani, vipimo hivi hutofautina wakati mwingine kutokana na nchi na nchi kwani wengine huweza kua zaidi ya hapa..
uume ukiwa umelala ni nchi 3.4 mpaka nchi 3.7 [au sentimita 8.6 mpaka 9.3]
uume ukiwa umesimama urefu wake ni nchi 5.1 mpaka nchi 5.7[ sentimita 12.9 mpaka 14.5]
uume ukiwa umesimama unene ni nchi 3.5 mpaka nchi 3.9[ sentimita 8.8 mpaka 10]

Nini kinapunguza ukubwa wa uume?
wanaume wengi hawaridhiki na ukubwa wa uume wao hata kama ni mkubwa, na wengine wanaona kabisa uume umepungua ukubwa wakilinganisha na miaka iliyopita bila kujua sababu ya msingi lakini mambo yafuatayo yanaweza kufanya uume wa mtu ukapungua.

Unene na kitambi; unene hufanya mafuta mengi kuongezeka tumboni na maeneo mengine ya uume, hii hufanya uume uonekane mdogo kuliko mwanzo hata ukiwa unaingia ukeni huzuiliwa na mafuta yaliyoota mwisho wa uume, lakini pia mafuta ya ndani ya mishipa ya damu ambayo yanazuia damu ya kutosha isifike kwenye uume husababisha uume usimame kwa shida sana na kua mdogo.

Umri; umri wa mwanaume unavyozidi kua mkubwa uume pia huzidi kua mdogo hii husababishwa na kupungua kwa homoni za mfumo wa uzazi wa uume ambapo homoni hizi hizi ndio huufanya uume kua mkubwa kipindi mwanaume anabalehe kwa mara ya kwanza, lakini umri haupunguzi uume tu hata nyama za mwili wote kwa ujumla sababu ya kupungua kwa uwezo wa mwili kutengeneza seli mpya, ndio maana wazee wengi misuli ni midogo.

Kutoshiriki tendo la ndoa kwa mara kwa mara; uume ni kama misuli mingine ya mwili, misuli inayofanya kazi mara kwa mara hua mikubwa na minene kama watu wanaofanya mazoezi ya kubeba chuma au watu wanaofanya kazi ngumu lakini misuli ikiwa haifanyishwi kazi hupungua ukubwa, hivyo kushiriki tendo la ndoa angalau mara nne kwa wiki husaidia.

Ukoo; baadhi ya koo fulani unakuta familia nzima ina uume mdogo, hii husababishwa na homoni ya testesterone kwenye miili yao kushindwa kufanya kazi vizuri lakini pia baaadhi ya koo wamebarikiwa na maumbile makubwa.

Upasuaji wa tezi dume; tafiti zimeonyesha kwamba upasuaji wa kuondoa tize dume husababisha uume kuingia ndani kidogo, utafiti huu ulifanyika nchini marekani kwa wanaume 126 ambao miezi kadhaa baada ya upasuaji huu walikiri kupungua kwa ukubwa wa uume.

Kupiga punyeto au kujichua; uume ni kiungo laini sana ambacho hakitaki usumbufu kabisa ndio maana uke wa mwanamke una kuta laini sana ambazo haziwezi kuharibu uume, lakini unapotumia mikono yako kujichua unaumiza mishipa ya juu ya uume inayoingiza na kutoa damu lakini pia unaweza kusababisha makovu ya ndani ya misuli na kuzuia damu kufika kwa uhakika, hiki ni chanzo kikubwa cha kupungua ukubwa na nguvu za kiume kwa vijana wadogo ambao mara nyingi hujichua sana.

Kuvuta sigara; kemikali ya nicotine iliyoko kwenye sigara huziba mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye uume, hii husababisha uume kukosa virutubisho na damu ya kutosha na kupungua ukubwa pamoja na nguvu zake.

Suluhisho ni nini?
jambo la msingi sana ni kuzuia chanzo husika cha kupungua kwa uume kwa kuacha mambo ambayo yanasababisha uume wako kupungua kama ifuatavyo...
Acha kupiga punyeto; najua kuacha kupiga punyeto sio swala dogo lakini naomba nikwambie kwamba kama hauchi kujichua unaendelea kujiua,Punguza unene na kitambi; unene ni hali ambayo inaweza kuisha kama mtu akiamua kupungua, zipo program nyingi sana za kupungua uzito na kuisha kabisa kwa gharama za kawaida tu,Acha kuvuta sigara; sigara ina addiction sana na sio rahisi kuiacha lakini kuna jinsi ya kuacha sigara ukiamua,Tumia virutubisho vya kuongeza homoni ya testosterone; kama wewe mwanaume uko zaidi ya miaka 40 na unaona uume wako umepungua kuliko zamani huenda homoni zako za testosterone zimeanza kushuka hivyo kuna virutubisho unaweza kutumia mara kwa mara ili kuweka kiwango cha homoni hizo kwenye kiwango cha kawaida.[tuwasiliane ukihitaji]Mazoezi ya kuongeza uuume; uume ambao hauna mazoezi au haushiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupungua na kua mdogo kama nilivyosema hapo juu, hivyo unaweza kuufanya uume ue active kwa kufanya mazoezi ya uume ambayo yanaongeza damu kwenye uume na yamethibitika kuongeza ukubwa wa uume marudufu kwa watu ambao uume wao umepungua au ni mdogo tangu mwanzo.

Usiache kuwa nasi pia
Tembelea muungwana.com

Baada ya kuachiwa huru Godbless Lema azungumza haya likiwemo hili " Mwanangu alikuwa ananiuliza baba nifanye kosa gani ili nije tuishi wote gerezani

Baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kumuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema ambaye amesota gerezani kwa zaidi ya miezi minne, amefunguka kwa mara ya kwanza kuwashukuru wale waliompigania huku akieleza stori ya kusisimua kuhusu mtoto wake.

Lema amedai anaenda kumuona mwanaye ambaye alitaka kufikia uwamuzi wa kutaka kufanya kosa ili na yeye aingie gerezani kukaa na baba yake.

“Leo nina mambo machache sana ya kuongea, ninamshukuru sana mwenyezi Mungu, mke wangu, familia yangu, mawakili, viongozi wa chama na wananchi wote waliokuwa na mimi. Na kwa namna ya pekee mke wangu, kama ningepata nafasi ya kuoa tena, ningemuoa yeye. Pia mtoto wangu alifikia hatua akasema anatamani kufanya kosa ili aje alale na mimi gerezani, na akauliza ni kosa gani afanye ili aletwe gerezani,” alisema Lema.

Mbunge huyo ameachiwa kwa dhamana yenye masharti ya wadhamini wawili wanaoaminika pamoja na kusaini bondi ya shilingi milioni 1.

 

Gallery

Popular Posts

About Us