KINGAZI BLOG: 03/15/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday, 15 March 2017

Ndege ya ‘wanawake pekee’ kutoka Malawi kutua Tanzania

HakiMALAWI AIRLINES / FACEBOOKImageNdege hiyo itakuwa chini ya Kapteni Yolanda Kaunda na Lusekelo Mwenifumbo Shirika la ndege la Malawi, Malawi Airlines, limetangaza kwamba linapanga kufanya safari ya ndege itakayosimamiwa na wanawake pekee Alhamisi wiki hii. Safari hiyo ya ndege, ambayo itakuwa na marubani na wasaidizi wa abiria kwenye ndege wote wakiwa wanawake, itakuwa ya kwanza kuandaliwa na...

Bunge la  lapiga Marufuku upigaji Punyeto

Mwanasiasa mmoja mwanamke anachukua hatua isio ya kawaida katika kile anachosema ni sheria kali za uavyaji mimba kwa kuwalenga wanaume wanaofanya punyeto. Lengo la sheria hiyo yake anasema ni kuwalinda watoto ambao hawajazaliwa kila mahali. Ndio sababu anataka mwanamume atakayemwaga mbegu zake za kiume nje ya uke wa mwanamke ama kutengezwa nje ya kituo cha matibabu kutozwa faini ya dola 100. Iwapo...

CCM Watangaza Kumshughulikia Makonda,Magazeti ya Tanzania Leo jumatano 15/3/2017.

...

WhatsApp kurudisha “status” za maneno..

Kuna tetesi kwamba WhatsApp ipo mbioni kurudisha status za maneno baada kuondoa huduma hiyo katika toleo lake la hivi karibuni, hii ni habari nzuri kwa watumiaji ambao hawakupendezwa na mfumo mpya ulioletwa mwezi uliopita. Muonekano mpya wa WhatsApp baada ya mabadiliko ya status Kulikuwa na maneno mengi baada ya WhatsApp kuleta mabadiliko makubwa katika mfumo wa status kwa kutambulisha namna ya...
 

Gallery

Popular Posts

About Us