
*# Moja:*
Mume kutofahamu sehemu zenye hisia kali kwa mke wake......
Inafahamika wanawake wote kwa ujumla kuna sehemu zao za hisia kali zaidi wakichezewa. Hata ivo athari ya hisia na mihemko hutokana ufahamu wa mume ktk sehem husika za mkeo na pia umaridadi wa mume anavo zishulikia sehem izo ..na kuna wengine husisimka zaidi wakishikwa sehemu fulani ukilanganisha na wengine nao sehemu zingine ndio...