KINGAZI BLOG: 11/13/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday, 13 November 2016

Sikiliza Hapa Kionjo Cha Wimbo Mpya Wa Diamond Platnumz.

Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ambaye Hivi karibuni ameweza kushinda Tuzo 3 za AFRIMA mwenye Hit Singer ya “SALOME” ameweza kutuonjesha kipande cha ujio wake Mpya. Audio hii inaweza kuwaimevuja kwani yeye mwenyewe hajaweza kuipa promo kwenye akaunti yake yoyote mtandaoni ambapo si jambo lakawaida kwake. Moja ya Mistari inayopatikana kwenye wimbo huo unasema “Tatizo sielewi nikipi nilichowakosea...

Diamond platnumz_ft_cassper nyovest.Mp3

...

Picha: Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye Mazishi ya Spika Mstaafu Samwel Sitta

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yake yaliyofanyika jana Urambo mkoani Tabora  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta wakati wa mazishi wa Spika huyo Mstaafu. Naibu...

CHOMBEZO: NILAMBE HUMO HUMO ===9

MTUNZI: HUSSEIN WAMAYWA SEHEMU YA MWISHO ‘’Nitashukuru kupita kiasi!” Nikasema haraka nikiwaza hata kama Lady Jay dee ataniita mwanaume kama binti na Bushoke kuniita Mume bwege shauri yao! Nitafanyaje hali nimesha ulowanya?” Nikakubali.Lakini kabla haya hayajafanyika inakubidi uanze taratibu za uchumba na kwa hili hatuna budi kwenda kupima afya zetu kwanza ili ulete barua ya posa wakati huo...

Kibonge Sexy: Mi na Chid Benz Tumebaki Marafiki Tu...Naposti Picha Nusu Utupu Kwa Ajili ya Biashara

ALIYEKUWA demu wa staa wa Hip Hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Bhoke ‘Kibonge Sexy’ kwa mara ya kwanza amefungukia uhusiano wao kuwa kwa sasa hawako kimapenzi kama zamani. Akichonga na Global TV Online leo, Bhoke ambaye pia ni mwanamitindo na video queen mnene kuliko wote Bongo alisema, ni muda mrefu tangu awe na Chid kimapenzi na kilichobaki kwa sasa ni urafiki tu. “Umebaki urafiki wa karibu,...

PICHA 4 !!! INASIKITISHA HEBU ONA MADHALA YA MAKALIO YA KICHINA KWA HUYU

Miss BumBum contestant and Brazilian TV presenter reveals the shocking damage caused by fillers injected to give her a bigger bottom and thighs Miss BumBum contestant and Brazilian TV presenter reveals the shocking damage caused by fillers injected to give her a bigger bottom and thighs WARNING GRAPHIC CONTENT  A model whose bottom came second in Brazil's Miss BumBum beauty contest has revealed...

Habari kuu Zilizopo kwenye Magazeti Ya Leo Jumapili ya Novemba 13

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us