KINGAZI BLOG: 10/28/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday, 28 October 2016

MAAJABU: MWANAMKE AMTUMIA MGOMBEA WA URAIS DONALD TRUMP NYWELE ZA SEHEMU ZA SIRI KAMA MCHANGO WA KAMPENI

Mgombea wa urais Marekani Bw. DOLDALD TRUMP Katika hali ya kustaajabisha mwanamke mmoja wa Florida amemtumia Donald Trump nywele za sehemu za siri ikiwa ni muitikio wa barua aliyopokea ikimuomba kuchangia kampeni za Trump.                                   Mwanamke hyo adai kwamba ameshindwa tuu kumtumia...

HAWA HAPA MASTAA WA KIKE WANAOPENDA KUONYESHA MAKALIO YAO MTANDAONI

...

ERICK OMONDI AMEFANYA REMIX YA WIMBO WA SALOME HII HAPA ITAZAME!!!! (inachekesha sana)

HII HAPA CHINI HEBU ITAZAME ...

DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA COLLABO NA STAA HUYU WA MAJUU.

Tuzo za MTV MAMA huwakutanisha wasanii wengi wa Afrika kwa wakati mmoja. Si kila anayehudhuria huwa ametajwa kuwania tuzo, bali wengine huenda kwaajili ya kutafuta connection. Na wengine hutumia fursa hiyo kwenda kufanya video na wasanii waliowashirikisha ili kupunguza gharama za kuwasafirisha kuwapeleka SA kwaajili hiyo. Miongoni mwa watu waliotumia fursa hiyo ni rapper wa Malawi, Tay Grin aliyewahi...

Habari kuu zilizopo kwenye Magazeti Ya Leo Ijumaa ya Octoba 28

...

Basi la Hood lagongana na lori na kupinduka kwenye mlima Kitonga

Basi la kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana  mchana lilipata ajali na kupinduka katika mlima Kitonga mkoani Iringa baada ya kugongana na lori la mafuta.   Katika ajali hiyo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 43 wamejeruhiwa. Kati ya majeruhi hao 25 wapo Hospitali ya Itunda Ilula na 18 wapo katika Hospitali ya Mkoa....
 

Gallery

Popular Posts

About Us