MAAJABU: MWANAMKE AMTUMIA MGOMBEA WA URAIS DONALD TRUMP NYWELE ZA SEHEMU ZA SIRI KAMA MCHANGO WA KAMPENI | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday, 28 October 2016

MAAJABU: MWANAMKE AMTUMIA MGOMBEA WA URAIS DONALD TRUMP NYWELE ZA SEHEMU ZA SIRI KAMA MCHANGO WA KAMPENI

Image result for donald trump
Mgombea wa urais Marekani Bw. DOLDALD TRUMP


Katika hali ya kustaajabisha mwanamke mmoja wa Florida amemtumia Donald Trump nywele za sehemu za siri ikiwa ni muitikio wa barua aliyopokea ikimuomba kuchangia kampeni za Trump.
                                Image result for donald trump
 Mwanamke hyo adai kwamba ameshindwa tuu kumtumia sehemu zake za siri lakini badala yake ameamua kumtumia nywele zake za sehemu za siri Kama mchango wa kumuunga mkono mgombea huyo.

TUNAOMBA MAONI/ COMMENT  YAKO HAPO CHINI

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us