KINGAZI BLOG: 02/10/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday, 10 February 2017

Mbowe kusakwa na polisi popote alipo!!

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kama Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe hataripoti bila kutoa taarifa yoyote ya udhuru atafuatwa kwa kuwa jeshi hilo linahitaji  kumhoji. Kamanda wa kanda hiyo, Simon Sirro amesema hayo leo muda mfupi baada ya Mbowe kueleza kuwa hataripoti polisi kutokana na wito wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Amesema operesheni dhidi...

WABUNGE NA MAWAZIRI WAZIDI KUMUWASHIA MOTO RC MAKONDA.

SIKU chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kutaja watuhumiwa 65 katika vita dhidi ya dawa za kulevya, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema haki zimekiukwa katika utajaji majina. Mbali na LHRC baadhi ya wanaharakati wameungana na kituo hicho kukosoa utaratibu uliotumiwa na Makonda. Akizungumza na gazeti hili jana, Mkurugenzi wa LHRC, Dk Hellen Kijo-Bisimba...

Habari kuu Katika Magazeti ya Leo Ijumaa Ya February 10

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us