KINGAZI BLOG: 04/23/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday, 23 April 2017

RATIBA ZA MITIHANI YA VYUO VYA GRADE A NA DIPLOMA , 2017

Please make sure you have PDF reader installed in your device.Link 1: DIPLOMA IN SECONDARY EDUCATION EXAMINATION MAY, 2017TIMETABLE (DSEE) CLICK HERE TO DOWNLOADLink 2: GRADE A TEACHER CERTIFICATE EXAMINATION MAY, 2017TIMETABLE (GATCE) CLICK HERE TO DOWNLOADShare these announcements as much as you can.Source: NECTA Official WebsiteTHE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TAN...

RATIBA ZA MITIHANI YA VYUO VYA GRADE A NA DIPLOMA , 2017

THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA Please make sure you have PDF reader installed in your device.Link 1: DIPLOMA IN SECONDARY EDUCATION EXAMINATION MAY, 2017TIMETABLE (DSEE) CLICK HERE TO DOWNLOADLink 2: GRADE A TEACHER CERTIFICATE EXAMINATION MAY, 2017TIMETABLE (GATCE) CLICK HERE TO DOWNLOADShare these announcements as much as you can.Source: NECTA Official...

U-heard… !!!Alichosema Askofu Gwajima Leo Kanisani Kuhusu Kutekwa Kwake

Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ingawa watanzania wana hofu ya kutekwa lakini yeye hawezi kutekwa bali anateka watu.   Alifafanua kauli yake hiyo akisema anateka fikra, mawazo, elimu za watu ili wamgeukie Mungu.   Ameyasema hayo wakati wa ibada ya Jumapili kanisani kwak...

kimenuka!!! Umesikia alichojibu Yusuph Mlela baada ya kuambiwa na Nay wa Mitego kwamba kapoteza malinda?? HEBU SOMA HAPA

Wawili hao waliingia kwenye bifu hilo baada ya Nay wa Mitego, kuwaita wasanii wa filamu ‘mataahira’ kisa kuandamana kupinga biashara ya filamu ‘feki’ za nje ambazo hazilipi kodi. Rapa huyo amedai hawezi kupigana na muigizaji huyo huku akimkejeli kwa kumuita Mlela ni mwanamke. “Nasikia kuna mwanaume/mwanamke yupo Bongo Movie anataka kupigana na mimi, bahati mbaya mimi sipigani na mwanamke hata baba...

Penzi la Jack Wolper na Harmonize Chali...Harmonize Apata Mzungu Mwenye Pesa Chafu

Za kunyapia nyapia zinadai kwamba hakuna tena mapenzi baina ya mastaa @harmonize_tz  na mwanadada @wolperstylish.  Shilawadu wanadai kwamba Harmonize kwasasa ana toka na mrembo flani hivi wa kizungu na tayari mrembo huyo ni mjamzito na inasemekana kibendi hicho ni cha Harmonize. Soudy Brown amewatafuta wawili hao bila mafanikio na kuamua kumvutia waya meneja...

SIRI ya Vifo vya Askari Pwani Yafichuka..Kumbe Al Shabaab Wanahusika..Huwachukua Vijana wa Kitanzania na Kuwapeleka Somalia kwa Mafunzo Maalumu..Hivi Ndivyo Ilivyokuwa A - Z ...!!!

Matukio ya ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya polisi na viongozi wa vijiji katika wilaya za Mkuranga, Kibit na Rufiji mkoani Pwani, yanahusishwa na vikundi vya vijana wanaopata mafunzo kutoka kwenye kundi la al-Shabaab nchini Somalia, JAMHURI limefahamishwa. Kwa miaka minne hadi mitano iliyopita, vijana kadhaa kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rufiji, hasa Ikwiriri, wamekuwa wakisajiliwa...

BASHITE Awatesa Mawaziri Bungeni..Habari katika Magazeti ya Leo 23/4/2017..!!!

...

TODAY'S NEWS ON NEWSPAPERS APRIL 23 2017.

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us