Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ingawa watanzania wana hofu ya kutekwa lakini yeye hawezi kutekwa bali anateka watu.
Alifafanua kauli yake hiyo akisema anateka fikra, mawazo, elimu za watu ili wamgeukie Mungu.
Ameyasema hayo wakati wa ibada ya Jumapili kanisani kwake.
0 comments:
POST A COMMENT