KINGAZI BLOG: 02/19/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday, 19 February 2017

TUANGALIE SEHEMU ZINAZOMPA MSISIMKO ZAIDI MWANAMKE..

BOFYA PICHA HII SEHEMU YA 1: NYWELE sehemu ya kwanza yenye msisimko katika mwili wa mwanamke ni kwenye nywele, katika sehemu hii huleta msisimko kwa pande zote mbili kwa mwanaume na kwa mwanamke. Walio wengi katika mapenzi hupuuzia eneo hili kwa kutokujua kama ni muhimu husasani wawa...po ndani na wapenzi wao ila nataka nikufahamishe kua nywele huleta msisimko wa raha pindi zinapochezewa hivyo...

SHILAWADU!!!Umeipata hii ya Flora Mbasha kutambulisha Wachumba Wawili Kanisani?

DAR ES SALAAM: Mwanamuziki wa Injili Bongo, Flora Mbasha amezua gumzo la aina yake baada ya kudaiwa kuwatambulisha wachumba wawili tofauti katika Kanisa la Mchungaji Paul Bendera wa Kanisa la Ufunuo, Kimara- Bonyokwa. Chanzo makini kilichopo kwenye kanisa hilo, kimeeleza kuwa, Flora ambaye sasa anatarajiwa kuolewa na jamaa anayefahamika kwa jina la Daud Kusekwa, awali alidaiwa kumtambulisha Peter...

Mateja wawili wafariki dunia baada ya kukosa dawa za kulevya

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga amesema watu wawili wameripotiwa kupoteza maisha mkoani Mwanza kwa sababu ya kukosa dawa za kulevya mtaani kama walivyozoea. Kamishna Sianga amesema taarifa hiyo ameipata kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, hali inayomaanisha mafanikio ya mapambano ya dawa hizo, ambapo kwa sasa usambaaji wake umepungua mtaani kwa kiasi...

Mama Afukua Kaburi la Mwanae,Kisa Kamili Hiki Hapa!!

Katika hali isiyo ya kawaida mama mmoja mwenyeji wa mkoa huu wa mbeya mji mdogo wa mbalizi, usiku wa kuamkia leo alienda kaburini alikokua kafukiwa mwanae aliyefariki dunia Siku ya jumatatu na kuzikwa jumanne ya wiki Hii na kufukua kaburi hilo na kuitoa maiti  Kwa mujibu wa mama huyo maarufu Kama mama vumi anadai aliambiwa na mchungaji kuwa mwanae hajafa Bali Kuna sehemu anafanya kazi hivo...

SHILAWADU: Kauli ya Barnaba kuhusu ugomvi na Mama Mtoto wake

Mwimbaji wa bongofleva Barnaba Boy yupo kwenye vichwa vya habari za burudani kwa zaidi ya siku 5 sasa hivi baada ya habari zinazodaiwa kwamba ameachana na Mama mtoto wake. Barnaba amehojiwa na The weekend chat show na kusema hayo ni maneno ya watu tu ila yeye hajagombana na mama watoto wake Mama Steven japo kila mtu ana matatizo. “Mimi na wife wangu hatuna matatizo,...
 

Gallery

Popular Posts

About Us