Dar es Salaam. Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amezungumzia suala la utekwaji na kusema kuwa endapo watajaribu kumteka atapiga picha kwa kutumia simu yake kwanza na kutuma kwenye mitandao ya kijamii kisha ndipo ataondoka na watekaji hao.
Akizungumza kanisani kwake leo, Gwajima alisema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ndiye anayejua alipokuwa mwanamuziki Roma...
Sunday, 9 April 2017
GWAJIMA AZUNGUMZIA ISHU YA KUTEKWA KWA ROMA, FREEMASON NA KUHUSU MDEE KUMTUKANA SPIKA WA BUNGE. SOMA ZAIDI HAPA.
Published Under
TOP STORIES
SHARE!
LIVE VIDEO KUTOKA KANISANI KWENYE MAHUBIRI YA GWAJIMA MUDA HUU.
Published Under
TOP STORIES
UNGANA NASI HAPA KUONA KINACHOENDELEA KANISANI KWA GWAJIMA
MUDA HUU
BONYEZA HAPA KUONA LIVE
...
SHARE!
Khaa!! Hivivukiyaona Mapokezi ya Nape jimboni kwake....Wanawake walala chini ili apite migongoni mwao.!!
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Mtwara kupitia tiketi ya CCM, Mhe. Nape Nnauye amtaka Rais Magufuli aunde tume huru ambayo itaweza kuchunguza matukio ya uhalifu ya uvamizi wa studio unaoendelea nchini.
Mbunge Nape Nnauye akilia kwa furaha baada ya wananchi wa jimbo lake wakimtaka kupita juu ya migongo ya wamama ambao walijipanga ili kiongozi wao huyo apite juu yao, kwa heshima.
Hatua hiyo inatokana...
SHARE!
Nape atema nyongo....Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili ya April 9
Published Under
MAGAZETINI LEO

...
SHARE!
Roma Afunguka Haya baada ya kupatikana jana usiku.
Published Under
TOP STORIES

Hatimaye msanii Roma Mkatoliki akiwa na wenzake watatu amezungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza kufuatia tukio la kutekwa na watu wasiojulikana kwa takribani siku tatu.
Roma na wenzake wamejitokeza mbele ya vyombo vya habari baada ya kutoka katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, walikoenda kupimwa afya zao baada ya kuhojiwa kwa takribani saa sita katika kituo cha polisi...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)