Baada ya wimbo wa Muziki kutoka kwa Darasa ku 'hit' na kuwa kati ya nyimbo bora za kufunha na kufungua mwaka , Mchekeshaji JOTI naye kaja kivingine baada ya kuirudia video ya wimbo wa Muziki BOFYA LINK HII HAPA CHINI KUITAZAMA HALAFU TUPIA COMMENT HAPO CHINI
BOFYA HAPA KUITAZAMA
...
Saturday, 14 January 2017
Walimu wa sayansi wapya wapewa muda wa mwisho
Published Under
KITAIFA

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa fursa ya mwisho kwa wahitimu wa ngazi za Stashahada na Shahada za ualimu ambao hawakuwasilisha vyeti vyao kwa ajili ya uhakiki kufanya hivyo kabla ya Januari 17.
Uhakiki wa vyeti kwa wahitimu wa ngazi za Stashahada na Shahada za ualimu katika masomo ya Sayansi ambayo ni Fizikia, Kemia na Bayolojia pamoja na masomo ya hisabati wa mwaka 2015 ulitangazwa...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)