
Leo January 19 2017 kupitia Leo tena ya clouds FM Mtangazaji Geah Habib ametuletea hekaheka kutokea mitaa ya Sinza makaburini Dar es salaam.
Hekaheka hiyo ni kuhusu jamaa ambaye amekuwa akifanya matukio ya uhalifu ikiwemo kuchukua mali za watu kibabe kama vile simu, jamaa huyo anajiita ‘Van Damme’. Wananchi wa eneo hilo wamesimulia kuwa ‘Van Damme’ akifika maeneo hayo maduka yanafungwa na madereva...