MAZISHI ya Mkuu Sir Andy chande aliyefariki akiwa na umri wa miaka 88 huko Nairobi Kenya yanatarajiwa kufanyika Jumanne ijayo kwa mwili wake kuchomwa moto mpaka kuteketea wote.
Wageni zaidi ya 300 kutoka nje ya nchi wakiongozwa na Freemason mkuu watahudhuria mazishi yatayofanyika hapa Dar es Salaam.
Booking za guest watazofikia wageni mashughuli wa freemason zinaendelea kufanyika kwa...
Friday, 7 April 2017
Kamanda Siiro Afunguka kuhusu kupotea kwa Msanii Roma Mkatoliki
Published Under
KITAIFA

Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam, Simon Sirro amesema kuwa tayari wameshapata taarifa za kupotea kwa Msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, ‘Ibrahim Mussa’ maarufu kwa jina la Roma Mkatoliki na kuongeza kuwa tayari timu yake ya upelelezi imeshaanza kazi.
Ameyasema hayo mapema hii leo wakati akizungumza na Katibu wa Chama cha Wanamziki wa Kizazi Kipya Tanzania, Samweli Mbwana alipotaka...
SHARE!
MAITI Yaokotwa Ufukwe wa Ziwa Victoria Ikiwa Imefungwa Kwenye Baiskeli
Published Under
KITAIFA

Tukio la kusikitisha Wakati familia kadhaa za watanzania zikiendelea kupoteza ndugu zao bila kujulikana walipo, leo huko mkoani Mara katika ufukwe wa ziwa Victoria imeokotwa maiti ya mtu mmoja asiyefahamika ikiwa imetupwa ziwani. Mazingira ya kifo chake yanaonesha mtu huyo mwanaume aliuawa, akafungwa kama kifurushi kwenye baiskeli, kisha yeye na baiskeli yake wakatoswa ziwani. Hapa ndipo tulipofika...
SHARE!
Utapeli Magroup ya WhatsApp
Published Under
TOP STORIES

Katika kutafuta namna ya kujipatia kipato kwa wakati huu ambapo njia zote za ujanjaujanja zimezibwa na serikali ya awamu ya tano, baadhi ya watu wamebuni mbinu ya kuwatapeli wananchi kupitia makundi ya mitandao ya kijamii hasa WhatsApp.
Kwa mujibu wa mmoja wa watu ambao alijikuta akiingia katika mtego huo kutokana na tamaa yake ya ngono, (jina lake linahifadhiwa) alipata rafiki katika Mtandao wa...
SHARE!
Taarifa mpya ya Wizara ya Habari na sanaa kuhusu Roma kutoweka
Published Under
TOP STORIES

Taarifa za kupotea kwa Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wawili baada ya kutekwa na kuchukuliwa na Watu wasiojulikana kwenye studio za TONGWE Dar es salaam, zilianza kusambaa kuanzia juzi usiku (April 5 2017)
Leo April 7 2017 Wizara ya Sanaa, Utamaduni na michezo ambayo iko chini ya Dr. Mwakyembe imetoa taarifa ifuatayo >>>> “kwa dhamana yake katika tasnia ya Sanaa Wizara imepokea kwa...
SHARE!
Maneno matatu ya Nape Nnauye kuhusu Roma
Published Under
TOP STORIES

Baada ya mastaa mbalimbali kuguswa juu ya stori ya Roma mkatoliki na wenzake watatu kuchukuliwa na watu wasiofahamika kwenye Studio za Tongwe Records na kupelekwa sehemu isiyojulikana, sasa leo April 7 2017 Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Moses Nnauye ameonesha hisia zake juu ya tukio hilo.
Kupitia account yake ya twitter Nape Nnauye ameyaandika maneno haya matatu kuhusu Roma…>>>”Roma!...
SHARE!
Wasanii: Paul Makonda Anajua Alipo Roma, Atafutwa Vituo Vyote vya Polisi Dar Bila Mafanikio.
Published Under
TOP STORIES

Wasanii kupitia kwa kikao chao kilichofanyika leo Tongwe records wamepaza sauti na kushusha lawama kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda kuwa anajua vizuri alipo msanii Roma Mkatoliki.
Wasanii hao wamesema kuwa watekaji hao walitamka wazi kuwa wanamtaka msanii Roma na producer wake na walipoona watajulikana ndipo walipoamua kuondoka na watu wote waliokuwepo ndani ya studio za...
SHARE!
Hii hapa video ya Nay Wa Mitego - WAPO (Official Music Video)
Published Under
VIDEO
Msanii Nay wa Mitego ameachia video yake mpya ya wimbo unaitwa “Wapo”, video imeongozwa na Khalfani Khalmandro, tazama hapa chini alafu toa komenti yako.
BOFYA PLAY KUIONA
TOA MAONI YAKO HAPA CHI...
SHARE!
Spika wa Bunge akutana na Rais wa TLS, Tundu Lissu
Published Under
KITAIFA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu walipofika na Ujumbe kutoka TLS kumtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu na ujumbe wake walipomtembelea...
SHARE!
Faru Fausta Atikisa Bunge..Habari Vichwa vya Magazeti ya Leo 7/4/2017.
Published Under
MAGAZETINI LEO

...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)