KINGAZI BLOG: 04/27/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Thursday, 27 April 2017

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA IKULU KUHUSU SUALA LA UHAKIKI WA VYETI.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA                 KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU    OFISI YA RAIS,IKULU,1 BARABARA YA BARACK OBAMA,11400 DAR ES SALAAM,TANZANIASimu : +255-22-2114512, 2116898Email : press@ikulu.go.tzTovuti : www.ikulu.go.tzFaksi : 255-22-2113425Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kesho...

Eric Omondi - How To Be DONALD TRUMP(Comedy Video).| New Comedy Video

Eric Omondi - How To Be DONALD TRUMP(Comedy Video).| New Comedy Vid...

Umeipata hii???Kijana wa Miaka 21 Akiwa Ndani ya Mwili kama wa Mzee wa Miaka zaidi ya 100!!

 Mshukuru Mungu kwa kila Kitu, Usijivunie Mwili wala Muonekano maana ni zawadi ambayo Ulipewa sio kweli kwamba huyu Dogo alipenda yeye, Au sisi ni Bora kuliko yeye machoni pa Mwenyezi Mungu. 1:Anakuwa mara nane zaidi ya Ukuaji wa Mwanadamu wa kaidia 2:Wazazi wake walitaka kumuuza kwenye maonyesho....

Picha!! China imtengeneza meli kubwa ya kivita

China imetangaza kwamba imefanikiwa kuzindua manowari yake ya kwanza ya kujiundia yenye uwezo wa kubeba ndege za kivita, Meli hiyo ya kivita ina uzani wa tani 50,000. Hatua hiyo inachukuliwa kama ishara ya karibuni zaidi ya kujiimarisha kwa taifa hilo katika nguvu za jeshi lake la majini. Vyombo vya habari nchini China vinasema meli hiyo, ambayo inawezesha ndege kuruka na kutua juu yake, ilisafirishwa...

MAAJABU ya Dunia… Binti Darasa la 7 Aota Matiti Manne..!!!!

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia familia moja kukumbwa na mauzauza baada ya watoto wa mama aliyefahamika kwa jina la Hawa Hassan Ngonyani kupatwa na mabadiliko ya maumbile ambapo mmoja ameota matiti na mwingine kuanza kuotwa na uvimbe shingoni. Hawa anaishi na wanaye watatu maeneo ya Kinzudi Kata ya Goba, jijini Dar ambapo waandishi wetu walifika na...

Makubwa!!!Huyu ndiye Rais Mpya wa Ufaransa Emmanuel Marcon..Amemuoa Mwalimu Wake Aliyemzidi Zaidi ya Miaka 24..Alianza Kutembea Naye Toka Akiwa na Miaka 17..!!

EMMANUEL MARCON mwenye umri wa miaka 39 ndiye anayetarajiwa kuwa rais ajaye wa Ufaransa. Pamoja na hayo, Marcon ambaye ameoa mke mwenye umri wa miaka 64 ,ana mambo mengi ya kufurahisha na kuvutia maishani mwake hususan kuhusiana na mkewe huyo ambaye anamzidi umri kwa kiasi cha miaka  zaidi ya 24. Mkewe huyo alikuwa ni mwalimu wake wa darasa miaka ipatayo 24 iliyopita ambapo mwalimu wake wa...

MAWAZIRI Waanzisha Chama Kipya..Wajipanga Kuiondoa CCM Madarakani..Habari Vichwa vya Magazeti ya Leo 27/4/2017..!!!

...

‘Padri’ wa Kanisa Katoliki afunga ndoa Dar es Salaam

Miaka tisa baada ya kuvuliwa upadri wa Kanisa Katoliki, Privatus Kargendo jana alifunga ndoa na mchumba wake Rose Birusya. Ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es Salaam katika misa iliyoongozwa na Padri Stefano Kaombe. Kabla ya kuvuliwa upadri, Karugendo alikuwa Padri wa Jimbo la Rulenge-Ngara kabla ya Papa Benedict XVI kumvua daraja hilo kwa madai ya kukiuka maadili...

Umeipata hii!!!Ray Kigosi afunguka Mambo Mazito kuhusu marehemu Kanumba Kuhusishwa na Uchawi na Freemason

Msanii wa filamu nchini Ray Kigosi amefunguka na kusema kuwa baadhi wa Watanzania ni wanafiki na wamekuwa wakikatisha tamaa watu katika mambo yao kutokana na unafiki wao. Ray Kigosi amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na kusema kutokana na unafiki huo wa baadhi ya watu ulimfanya mpaka marehemu Kanumba kuvunjwa moyo katika kazi yake. ==>Ray Kigosi ameandika; 1. Kanumba alipoanza kuona...

Hukumu ya Babu Seya, Papii, Mapya Tena

Tumaini jipya! Mtoto wa kiume wa mfungwa anayetumikia kifungo cha maisha jela, Nguza Viking ‘Babu Seya’, Mbangu Nguza ameibuka na kusema kuwa, mwaka 2017 ndiyo wa mwisho kwa baba yake na mdogo wake, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kuendelea kutumikia kifungo chao cha maisha jela. Akizungumza katika mahojiano maalum na Amani mwanzoni mwa wiki hii, Mbangu alisema kuwa, turufu ya mwisho ya hukumu ya ndugu...
 

Gallery

Popular Posts

About Us