KINGAZI BLOG: 04/04/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday, 4 April 2017

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine leo

TUJIKUMBISHE HISTORIA YAKE Prof. Kitila Mkumbo ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa. Alizaliwa tarehe 21 Juni 1971 katika Kijiji cha Mgela wilayani Iramba, Singida. Prof. Kitila hakuwa na bahati ya kulelewa na wazazi, hivyo alisomeshwa kwa misaada ya ndugu na wasamaria wema. Alisoma katika Shule ya Msingi Mgela iliyoko wilaya ya Iramba kati ya mwaka 1981-1987 kisha akajiunga Shule ya Sekondari Mwenge (Singida) na kusoma kidato cha kwanza hadi cha tano mwaka 1988-1991 na elimu ya Juu ya Sekondari akaipata pale Shule ya Sekondari Pugu kati ya mwaka 1992-1994 akijikita katika...

LIVE: KUTOKA BUNGENI .... Mama Salma Kikwete Aapishwa Bungeni Dodoma, Kauli za wabunge baada ya Rais mataafu KIKWETE kutua bungeni Leo.

Mama Salma akiingia Bungeni. DODOMA: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai,  leo amemwapisha kuwa Mbunge wa Kuteuliwa, Mh. Salma Kikwete,  ambaye ni mke wa rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete (katikati) akiwa Bungeni. Mbunge huyo aliandamana na mumewe ambaye  alisababisha kelele za shamra kutoka...

POLISI YAUA MAJAMBAZI YA KIUME YALIYOKUWA YAMEVALIA HIJABU

Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi  wameuwa kwa kupigwa risasi na polisi baada ya kukaidi amri ya kutakiwa kusimama eneo la kizuizi cha Mwembe Muhoro wilayani Rufiji, mkoani Pwani. Watu hao walikuwa wamepakiana kwenye pikipiki moja huku wakiwa wamevaa hijabu. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tukio hilo, kamanda wa Polisi mkoani Pwani ,Onesmo Lyanga alisema pikipiki nyingine...

Habari katika magazeti ya leo jumanne ya April 4 2017

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us