KINGAZI BLOG: 12/08/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Thursday, 8 December 2016

BASI LA NEW FORCE KUTOKA TUNDUMA KWENDA DAR LAGONGANA USO KWA USO NA LORI

BREAKING NEWS! TAARIFA ZILIZONIFIKIA NI HIZI . NEW FORCE YA KUTOKA TUNDUMA KQENDA DAR IMEGONGANA USO KWA USO NA LORI MAENEO YA IGULUSI. KWAHIYO WENYE NDUGU WALIOKUWA WAKISAFIRI LEO KUTOKA TUNDUMA AU MBEYA KWA NEW FORCE, FANYENI MAWASILIANO NA NDUGU ZENU HAO KUWEZA KUJUA USALAMA WAO SASA HAIJAJULIKANA KAMA KUNA KIFO KILICHO RIPOTIWA ILA MAJERUHI WAPO . ...

Taarifa kamili Kuhusu Habari Zilizoenea Kuwa Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Malawi Umerudi Tena

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki inapenda kufafanua na kuweka sawa taarifa zilizoandikwa kwenye baadhi ya Magazeti ya tarehe 07 Desemba, 2016 kuwa mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa unakaribia kuiva na kwamba Mgogoro huo unatarajiwa kumalizwa na washauri wa kimataifa. Taarifa hiyo haikuwa sahihi. Ukweli ni kuwa, mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania...

Maiti Sita zaokotwa mtoni ndani ya viroba

Sehemu ya Mto Ruvu MAITI sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya sandarusi maarufu viroba vya uzito wa kilogramu 200, huku zikiwa zimeharibika vibaya. Akizungumza na gazeti hili kwa simu jana, Diwani wa Kata ya Makurunge, Paul Kabile alisema maiti hizo ambazo ni za jinsia ya kiume ziligunduliwa na...
 
Gallery

Popular Posts

About Us