Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema Serikali imetenga Shilingi Bilioni 483 kwa mwaka huu kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu ambapo wanafunzi zaidi ya 118,000 watanufaika.
Akizungumza katika uwekaji wa jiwe la msingi la hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo, Rais Magufuli amesema miongoni mwa hao watakaonufaika, wanafunzi 93,000 ni wanaoendelea na masomo na wanafunzi takribani 25,000...
Friday, 21 October 2016
Kauli ya Rais Magufuli kuhusu mikopo ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu
Published Under
BREAKING NEWS
SHARE!
Selected bachelor students to join Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations (CFR)-2016/2017
Published Under
BREAKING NEWS
kupata majina
<<BONYEZA HAPA>>...
SHARE!
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa ya Octoba 21
Published Under
MAGAZETINI LEO

...
SHARE!
Serikali Yakubali Kurejesha Posho ya Sh. 8500 kwa Siku kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Nchini
Published Under
BREAKING NEWS

Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetuliza hasira za wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kurejesha posho ya chakula na malazi ya Sh8,500 kwa kila mmoja na kwamba tofauti baina yao itakuwa viwango vya ada.
Ufafanuzi huu uliotolewa jana usiku na Waziri wa Elimu, Sayansi , Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa Joyce Ndalichako wakati akizungumza katika mahojiano maalimu na kituo cha runinga...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)