
Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako.
Dar es Salaam.Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli imeendelea kuufumua mfumo wa elimu uliopigiwa kelele na wadau wakati wa Serikali iliyopita kwamba unashusha ubora wa elimu baada ya Alhamisi iliyopita kutoa waraka mpya unaobatilisha programu za mafunzo ya ualimu.
Mabadiliko mengine ya elimu yaliyofanyika katika Serikali ya Awamu...