KINGAZI BLOG: 03/10/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday, 10 March 2017

Shilole afunguka kuhusu Barnaba Boy

Jana malkia wa muziki Bongo, Shilole ameachia wimbo wake mpya uitwao Hatutoi Kiki. Kama zilivyo ngoma zake zilizopita, ngoma hii pia imeandikwa na Barnaba Classic. Kwenye interview na kipindi cha Supermega Cha Kings Fm kinachoongozwa na Prince Ramalove, mrembo huyo ameweka wazi sababu za kupenda kumtumia Barnaba kwenye utunzi wa ngoma zake. “Barnaba ananijulia sana katika uimbaji wangu, yaani akiandika...

Lema atarajia kufunguka ya moyoni leo

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema leo anatarajiwa kuhutubia wananchi wa jimbo lake katika uwanja wa Shule ya Msingi Ngarenaro baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Hatua hiyo imeelezwa kuwa ni mtego kwake, kwani inaweza kumjenga kisiasa ama kumharibia kutokana na kile atakachotamka katika mkutano huo wa hadhara. Lema aliyekaa gerezani kwa zaidi ya miezi minne, aliachiwa...

Habari kuu Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya March 10

...

Vipimo vya Faru John Kugharimu ,Mil. 700/- Chuo Kikuu Pretoria..!!!

VINASABA vya faru John vinatarajiwa kupelekwa nchini Afrika Kusini kwa vipimo vya vinasaba (DNA ) muda wowote kuanzia wiki hii baada kupatikana kwa mfadhili wa kulipia gharama za vipimo hivyo,  Faru John alizua gumzo nchini mwishoni mwa mwaka jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kufanya ziara katika Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro (NCAA) na kuwatuhumu maofisa wa shirika hilo na wale wa...
 

Gallery

Popular Posts

About Us