Rich Mavoko na Diamond Platnumz wamezichezea sharubu za simba mkali aliyekuwa usingizini.
Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limehisi kuna udhalilishwaji wa wanawake kwenye video hiyo na limesema litatoa tamko lake iwapo litaifungia video hiyo au lah!
“Ktk kusimamia maadili ktk Sanaa & udhalilishaji wanawake tuko thabiti.Video ya #kokoro ya #Mavoko inapitia uhakiki.Taarifa itatoka,” limeandika...
Thursday, 24 November 2016
Hii hapa njia sahihi ya Punguza kilo tano kwa siku saba
Published Under
MAKALA

NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha maradhi mbalimbali bali pia mwonekano wako unakuwa si mzuri. Makala haya yanaeleza namna ya kupunguza unene ndani ya siku saba.
Siku ya 1: Asubuhi kula matunda (lakini usile ndizi). Mchana chemsha kabichi, weka chumvi kidogo na nyanya, chemsha na upate...
SHARE!
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Novemba 24
Published Under
MAGAZETINI LEO

...
SHARE!
Bodi ya Mikopo yawaponza wanafunzi 1,132 wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (Saut) cha Mwanza

Wanafunzi 1,132 wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (Saut), cha Mwanza hawatapewa matokeo yao ya kuhitimu shahada wala kushiriki katika mahafali baada ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutolipa ada zao za mwaka huu wa masomo.
Kwa mujibu wa orodha ya wanafunzi iliyobandikwa katika ubao wa matangazo chuoni hapo, ni wanafunzi 933 tu watakaoshiriki katika mahafali yaliyopangwa...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)