
Mwanafunzi wa kwanza katika matokeo ya kidato cha nne nchini kutoka shule ya Sekondari ya Feza Boys jijini Dar es Salaam, Alfred H. Shauri (katikati) akielelzea siri ya mafanikio yake kwa wanahabari.
MWANAFUNZI wa kwanza kitaifa katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2016, Alfred H. Shauri, ameeleza siri ya mafaniko yake kuwa ilitokana na kusoma kwa bidii na kumtanguliza Mungu katika...