KINGAZI BLOG: 02/13/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday, 13 February 2017

NILAMBE HUMOHUMO -==3

>>>>NI KWA 18+ TUU>>>>JIONEE JE YALIYOMO YAMO<<< CHOMBEZO: NILAMBE HUMOHUMOMTUNZI: HUSSEIN WAMAYWA SEHEMU YA TATU “Eeh!’’ Akakubali kwa msisitizo. Moyo wangu ukazizima kwa furaha nikajua naweza kutumia moja wapo kati ya njia hizo, mambo yakajipa na nikaweza kummiliki Shamsa Nuhu moja kwa moja.‘’Ila’’ Akimu akanizindua tena, “Itakubidi usubiri muhula huu wa...

Hizi Kauli 20 nzito za Kamishna wa Kupambana na Dawa za Kulevya Wakati Akitangaza Vita Mpya...!!!

Kamishna wa kupambana na dawa za kulevya, Rogers William Sianga amelipigilia msumari kuhusu vita dhidi ya dawa za kulevya. Alikuwa akiongea leo jiji Dar es Salaam katika mkutano ulioandaliwa na mkuu wa Mkoa, Paul Makonda baada ya kukabidhiwa orodha ya tatu ya majina ya watu wanaohusishwa kwenye biashara hiyo. Kamishna Sianga amesema hawatamuonea huruma mtu yeyote anayejihusisha kwenye biashara...

VIDEO: “Mnyama nimeamua, inabidi uwe mnyama kama Makonda” – T.I.D

Mwimbaji wa bongofleva T.I.D ni miongoni mwa waliokamatwa na kushikiliwa na Polisi kwa dawa za kulevya na mpaka kufikishwa Mahakamani, leo February 13 2017 T.I.D alizungumza LIVE kwenye TV baada ya kualikwa kwenye jukwaa alilosimama Mkuu wa mkoa Paul Makonda kuzungumzia awamu ya tatu. V...

Kimenuka..Chid Mapenzi Mme Halali wa Muigizaji Shamsa Ford Aitwa Kurepoti Polisi na Paul Makonda

Wakati Makonda Akifunga mkutano aliyoufanga leo na waandishi wa habari kuhusu Madawa ya kulevya Amewataja Chid Mapenzi na Ayoub Kuripoti polisi Central.. .. "Namtaka Chid Mapenzi Polisi leo, ikiwezekana nimkute huku Muda hu...

Rc Makonda kutangaza orodha ya tatu ya vinara wa unga leo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo anatarajia kutaja majina mengine ya vinara wanaotuhumiwa kwenye biashara ya madawa ya kulevya. Katika awamu ya pili, watu mashuhuri wakiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Askofu Josephat Gwajima na mbunge wa zamani wa Kinondoni, Idd Azzan walitajwa. “Awamu ya tatu imekamilika naomba tukutane kesho katika ukumbi wa mwalimu nyerere kuanzia...

Zitto amtaka Rais aMagufuli livunje Bunge

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amemshauri Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli kulivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania endapo analiona ni kikwazo kwake. Ushauri huo ameutoa jana ikiwa ni saa chache baada ya Rais Magufuli kukosoa uamuzi wa Bunge kumuita Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kujieleza mbele ya Kamati ya Bunge, kutokana na kilichodaiwa na wabunge kuwa ni kauli ya...
 

Gallery

Popular Posts

About Us