Rc Makonda kutangaza orodha ya tatu ya vinara wa unga leo | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday, 13 February 2017

Rc Makonda kutangaza orodha ya tatu ya vinara wa unga leo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo anatarajia kutaja majina mengine ya vinara wanaotuhumiwa kwenye biashara ya madawa ya kulevya.
Katika awamu ya pili, watu mashuhuri wakiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Askofu Josephat Gwajima na mbunge wa zamani wa Kinondoni, Idd Azzan walitajwa.
“Awamu ya tatu imekamilika naomba tukutane kesho katika ukumbi wa mwalimu nyerere kuanzia saa 4 asbh,” mkuu huyo wa mkoa aliandika jana kwenye Instagram.
Jana Rais Dkt John Magufuli aliwataka viongozi kuongeza nguvu kwenye mapambano ya biashara hiyo haram
KINGAZI BLOG TUKO SAMBAMBA NA WEWE KUKUHABARISHA JUU YA TUKIO ZIMA LA KUTAJWA ORODHA YA MAJINA YA WATUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA.
Endelea kufuatilia.kila wakati 
www.kingazitee.com

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us